Öffnungszeiten Rathaus
Mo. – Fr. 8.00 – 12.00 Uhr
Do. auch 13.30 – 18.00 Uhr
Öffnungszeiten Wertstoffhof
Mittwoch
12.00 – 16.00 Uhr (Winterzeit)
14.00 - 18.00 Uhr (Sommerzeit)
Samstag
10.00 – 14.00 Uhr
an der Verbindungsstraße zwischen Furth und Schatzhofen
Notrufnummern im Landskreis Landshut
Polizei | 110 |
Feuerwehr | 112 |
Rettungsdienst/ Notarzt | 112 |
Giftnotruf | 089/19 240 |
Ärztlicher Bereitschaftsdienst | 116 117 |
Nembo ya manispaa ya Furth
Nembo imegawanywa katika sehemu tatu zenye rangi za nyekundu, nyeusi, dhahabu na fedha. Gurudumu linawakilisha mtakatifu Katharina, ambaye ni matakatifu mlinzi wa kijiji cha Arth. Kanisa la huko pia limetengwa maalum kwa ajili ya Mtakatifu Katharina. Upanga unawakilisha Mtakatifu Michael – matakatifu mlinzi wa wilaya ya Schatzhofen. Sio tu wakaazi wanaume pekee wa eneo hili waliorithi jina hili la kwanza bali pia kanisa la parokia. Dubu ndiye mnyama wa nembo ya familia ya Kaergl ambayo iliishi Furth hadi 1615. Kutokea kwao ndio ngome ya ulinzi na kiwanda cha pombe vilitengenezwa.
Kutoka kwa takwimu
SLP: | 84095 |
Vorwahl: | 08704 |
Eneo: | Mita 427.242 juu ya usawa wa bahari |
Upanuzi wa Eneo: | Kilomita 20,94 za mraba |
Idadi ya wakaazi 31.12.2022: | 3,659 |
Baraza la Mji: | Furth, Am Rathaus 6, Tel.: 08704/9119-0 |
Umri na Idadi ya watu
Umri wa miaka: | 40 Jahre |
Walio na hadi miaka 18: | 21,3 % |
Walio na miaka 18 hadi 64: | 63,1 % |
Walio na miaka 65 na zaidi: | 15,6 % |
Ongezeko la idadi ya watu: | kutoka 1999 mpaka 2009: 14,1% |
Waliozaliwa 2009: | 12,4 kwa kila wakaazi 1,000 |
Vifo mwaka 2009: | 9,1 kwa kila wakaazi 1.000 |
Makaridio: | Idadi ya watu katika wilaya ya Landshut inatarajiwa kuongezeka kwa 4,9 % ifikapo 2028. Uwiano wa vijana kwa wazee utabadilika kutoka idadi ya sasa ya 36,8% hadi 27,6% na kufikia 31,8% hadi 41,9%. |
Muundo wa mapato:
Pato la jumla kwa mfanyakazi na mlipa kodi ni wastani wa euro 32,868 (Kwa jimbo la Bavaria ni euro 31,891) |
Kwa kila wakaazi 1,000, watu 378 huajiriwa kulingana na michango ya huduma za ustawi wa jamiii (mahali wanapoishi) (Kwa wastani Bavaria: watu 355) |
Kwa kila watu 1,000, watu 65 huajiriwa kulingana na michango ya huduma za ustawi wa jamii (mahali pa kazi) (Kwa wastani jimbo la Bavaria: watu 361). |
Aktuelle Termine
- Samstag, 21. September 2024 Gemeinde Furth, Dorfplatz
- Samstag, 21. September 2024 VHS VG Furth, Kloster Furth
- Sonntag, 22. September 2024 DJK-SV Furth - Tischtennis, Turnhalle Grund- und Mittelschule
- Freitag, 27. September 2024 Liedertafel Furth, Klostersaal
- Samstag, 28. September 2024 ILE Holledauer Tor, Turnhalle Grundschule Obersüßbach